Showing posts with label job-serikalini. Show all posts
Showing posts with label job-serikalini. Show all posts

Sunday, January 18, 2015

AJIRA WIZARA YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI - JAN 2015


Kumb. Na EA.7/96/01/H/29 16 Januari 2015

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 51 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.

1.0 AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER GRADE II) – NAFASI 51

1.1 MAJUKUMU YA KAZI

• Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika kompyuta.

• Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria.

• Kufanya ukaguzi wa viwanja.

• Kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji wa miliki kwa visivyoendelezwa kwa mujibu wa sheria.

• Kuwasiliana na wateja kuhusu Hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.

1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na
Uthamini au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali
wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitano.
1.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS.E kwa mwezi

NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45

ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.

iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.

iv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.

- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.

- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.

- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI

- Computer Certificate

- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)

v. Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

vi. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).

vii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.

viii. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.

ix. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

x. Mwisho wa kupokea za maombi ni tarehe 05 Februari, 2015

xi. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.


xii. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au

Kiingereza na yatumwe kwenye mfumo wa elektroniki kupitia anuani ifuatayo;

 http://portal.ajira.go.tz/

xiii. MUHIMU: KUMBUKA KUWEKA (ATTACH) BARUA YAKO YA MAOMBI

KWENYE SEHEMU YA ‘OTHER ATTACHEMENTS’

CALL FOR INTERVIEW AT SIDO - KUITWA KWENYE USAILI - SIDO - JAN 2015


SHIRIKA LA KUHUDUMIA VIWANDA VIDOGO
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) anawaita wafuatao kuhudhuria usaili unaotarajia kufanyika tarehe 23 Januari, 2015, kama inavyoonyeshwa kwenye jedwali hapo chini.
Usaili utafanyika katika Ofisi za Shirika zilizopo mtaa wa mfaume, Upanga Dar Es Salaam.
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1.    Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi kama vile kadi ya mpiga kura, kitambulisho cha kazi, hati ya kusafiria n.k
2.    Kuja na vyeti vyote halisi vya elimu (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne na kuendelea kutegemea na sifa za mwombaji.
3.    Kuja na cheti halisi cha kuzaliwa.
4.    Waliosoma nje ya Tanzania, wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika kama TCU na NECTA.
5.    Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
6.    Wale wote ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo.
KADA: DEREVA DARAJA LA IITAREHE: 23/01/2015 MUDA: 07.00 MCHANA
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1.
Deodatus Godfrey
P.O. Box 523
2.
Samson Felix
P.O. Box 2197,
Mbande
MOROGORO
Milanzi
DODOMA
3
Ally Seleman
P.O. Box 10,
4
Joel Daudi Masaga
P.O. Box 296,
Mpangile
MKURANGA
ARUSHA
5
Sadick Thabit
P.O. Box 7194,
6
Emmanuel Y.
P.O. Box 1719,
Ndemeke
DAR ES
Mlowa
MOSHI
SALAAM
7
Isack Katambi Mussa
P.O. Box ,
8
Martin Alcado Kato
P.O. Box 2476
SENGEREMA
DSM


KADA: MHANDISI DARAJA LA IITAREHE: 23/01/2015 MUDA: 04.00 ASUBUHI
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1.
Nicholous Lyuvale
P.O. Box 3375,
2.
Jumanne Julius
P.O.Box9262, DSM
DSM
Mgonja
3
Eliudi Keneth
P.O. Box
4
Mawazo A. Said
P.O. Box 2958,
05156, DSM
DSM
5
Joseph Chengula
P.O.Box 212,
6
Arnold S. Mato
P.O. Box 733,
NJOMBE
MARANGU
7
Jonathan Ndunguru
P.O.Box 6354,
8
Fred Paschal
P.O. Box 1621,
MWANZA
Msyani
MOROGORO
9
Georgia G.
P.O.Box 4287,
Mwaipopo
MBEYA
KADA: ARTISAN DARAJA LA IITAREHE: 23/01/2015 MUDA: 07:00 MCHANA
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1.
Kudra Said Hassan
P.O. Box 507,
2.
Daudi J. Kibingira
P.O.Box 760,
KIGOMA
IRINGA
3
Kurwa Sudi
P.O.Box 6134,
4
Kaimu Hassan
P.O.Box 83,
TANGA
Komba
MASASI
5
Mohamed Bakari Ally
P.O.Box 40274,
6
Sixmund L. Mrope
P.O.Box 3,
DSM
NDANDA
7
Festo Kinyaga
P.O.Box 718,
8
Luhende Seni
P.O.BOX 400
MBEYA
SHINYANGA
KADA: TECHNICIAN DARAJA LA II TAREHE :23/01/2015 MUDA: 07.00 MCHANA
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1.
Evance D. Kawishe
P.O. BOX
2.
Julius A . Venance
P.O.BOX 2958
78438, DSM
DSM
3
Clavery Ksendi,
P.O. BOX 76
4
Shida Daniel
P.O.BOX 131
Mwanza,
Mwajanga
Mbeya
5
Mashauri Ngasale
P.O.BOX 16570
6
John N. James
P.O.BOX
DSM
2958DSM,
7
Fidelis Mzelela
P.O. BOX
8
Shabani Rahid
C/o Izuvba Rajabu
Mengo
40410 DSM
Juma
P.O. BOX 701
Moshi
9
Joseph Mafuta
P.O. BOX 2
10
Benesta S.
P.O. BOX 245,
Rukwa
Dyamwale
MUSOMA


KADA: AFISA UFUNDI DARAJA LA IITAREHE 23/01/2015 MUDA: 04:00 ASUBUHI
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1.
Wilfred Wambura
P.O. Box 2958,
2.
Abraham Mlay
P.O. Box 9296,
DSM
DSM
3
Nicholous Lyuvale
P.O. Box 3375,
4
Fildolin Tumbi
P.O. Box 2958,
DSM
DSM
5
Eliudi Keneth
P.O. Box
6
Mawazo A. Said
P.O.Box 2958, DSM
105156,DSM
7
Joseph Chengula
P.O. Box 212,
8
Gidion Mwasanga
P.O.Box 9262, DSM
NJOMBE
9
Willybard Magohe
P.O.Box9262,DSM
KADA: KATIBU MUHTASI
DARAJA LA IITAREHE:23/01/2015 MUDA: 02:00 ASUBUHI
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1.
Hasinath Haruna
P.O. Box 1330,
2.
Saumu Amiri
P.O. Box 34160,
Mchele,
DSM
Mashango
DSM
3
Hadija O. Mnango,
P.O. Box 0333,
4
Shakila Bakari
DSM
P.O. Box 1051
Mtwara
5
Flora Daniel Mgomo,
P.O. Box
6
Betha Mkamilo
P.O. Box 2113
105804, DSM
Dodoma
7
Joyce E. Damas,
P.O. Box 22500,
8
Mwaya Stephen
P.O. Box 9131
DSM
Chisunga
DSM
9
Upile Lukas Lukumbo
P.O. Box 31042,
10
Stella Nestory
P.O. Box 2329,
DSM
Iramu
DSM
11
Martha Pius. Moshi
P.O. Box 8566,
12
Edna Francis
P.O. Box 85
DSM
Buberwa,
MAFIA
13
Njiti Nusura Mfaeke,
14
Salama Aliamini
C/O Gulf Baor
P.O. Box 6306,
Bakari
Group
DSM
P.O.BOX 5198
DSM
15
Upendo Mapunda
P.O.BOX32941
16
Theodosia
P.O.BOX 840
Theonest
DODOMA
17
Janeth Katule
18
Welu Ernest
K.K.K. T Pugu
P.O. Box 905,
Kaali
P.O.BOX 9090
MBEYA
DSM
19
Unistar K. Celestine
C/O P. KAFBHI
20
Hildagalda Peter
SLP 1130
P.O. Box 9190, DSM
DSM
KADA: MENEJA WA KARAKANATAREHE:23/01/2015 MUDA: 02.00 ASUBUHI
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1
Nestory H.
P.O. Box 760,
2
Ally Iddi Mtwale
P.O.Box 400,
Ngoromela
IRINGA
SHINYANGA
3
Raymond Silveira
P.O. Box 706,
ARUSHA


KADA: MENEJA MRADI TAREHE:23/01/2015 MUDA: 02:00 ASUBUHI
NO.
NAME
ADRESS
NO.
NAME
ADRESS
1
Erasmus B. Hyera
P.O.BOX. 513,
2
Stephen M.
P.O.BOX. 295,
MTWARA
Ndunguru
SONGEA
3
Moshi S. Batuza
P.O.BOX. 464,
4
Coleta Kyaitela
P.O.BOX 72275,
MUSOMA
DSM
5
Melkiado January
P. O. Box 22151,
DAR ES SALAAM

DOWNLOAD