TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University) anatarajia kuendesha usaili wa
mchujo (Aptitude Test) kwa waombaji wa kazi wa kada mbalimbali kama
inavyoonekana katika Tangazo hili. Usaili utafanyika Chuo Kikuu Ardhi siku ya
Jumanne tarehe 13/10/2015 kuanzia saa moja (1.00) asubuhi.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika kabla ya usaili kuanza.
2. Kuja na vitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi,
kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k.
3. Kuja na Vyeti Halisi (Original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemea na nafasi
ya mwombaji.
4. “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results” hati za matokeo za
kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
5. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
6. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili.
7. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhininishwa na Mamlaka husika (TCU & NECTA).
8. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
Wafuatao wanatakiwa kufika kwa ajili ya usaili huo:-
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ARDHI (ARU)
(Call for Interview)
Tuesday, October 13, 2015
TANGAZO LA USAILI - ARDHI UNIVERSITY - OCT , 2015
By writer at 8:16 AM
job-call for interview
Related Posts:
MAJINA YA WALIOFAULU USAILI KWA AJILI YA USIMAMIZI WA ZOEZI LA UCHAGUZI Majina ya waliofaulu usaili kwa ajili ya usimamizi wa zoezi la uchaguzi mkuu Bonyeza jina la jimbo lako upate orodha hiyo wote waliofaulu wawasiliane na ofisi ya mtendaji kujua sehemu ya kufanyia semina jimbo la Kib… Read More
MAJINA YA WALIOFAULU USAILI KWA AJILI YA USIMAMIZI WA ZOEZI LA UCHAGUZI Majina ya waliofaulu usaili kwa ajili ya usimamizi wa zoezi la uchaguzi mkuu Bonyeza jina la jimbo lako upate orodha hiyo wote waliofaulu wawasiliane na ofisi ya mtendaji kujua sehemu ya kufanyia semina jimbo la Kib… Read More
TANGAZO LA USAILI - ARDHI UNIVERSITY - OCT , 2015TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University) anatarajia kuendesha usaili wa mchujo (Aptitude Test) kwa waombaji wa kazi wa kada mbalimbali kama inavyoonekana katika Tangazo hili. Usaili u… Read More
INTERVIEW RESULTS OF 08/10/2015 (EASTEC & ADEM-BAGAMOYO) Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano (Oral) wanatakiwa kufika muda, mahali na tarehe kama ilivyooneshwa kwenye ratiba ya usaili. Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certifica… Read More
TANGAZO LA KUITWA KAZINI OKTOBA, 2015Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 22/08/2015 hadi tarehe 16/09/2015 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilishwa… Read More