Thursday, October 1, 2015

TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA MAGEREZA

Jeshi la Magereza nchini limetoa taarifa ifuatayo, kukanusha taarifa za tangazo la ajira katika Jeshi hilo ambayo imekuwa ikisambazwa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii hivyo kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi na Uongozi wa Jeshi kwa ujumla. Magereza Statement