Thursday, October 1, 2015

Nafasi za Kazi Manispaa ya Ilala , Okt 1 2015

Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa ya Ilala anawatangazia wananchi/Wakazi wote wa Manispaa ya Ilala Nafasi Zifuatazo
1.Wasimamizi wa Uchaguzi wa Vituo
2. Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo
3.Makarani Waongozaji wa Kupiga Kura

Sifa za Muombaji
Awe Mtanzania
Awe Mkazi wa Kata atakayo fanyia Kazi
Kwa kazi ya Makarani waongozaji ikiwezekana awe wa kitu atakacho fanyia kazi
Awe na Umri wa Miaka 21 na Kuendelea
Awe na elimu ya Kidato cha Nne na kuendelea

APPLICATION INSTRUCTIONS:

NB: Barua zote zipelekwe kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata (AFISA Mtendaji wa Kata) wanazoombea kazi.

Isaya M.Mngurumi
Msimamizi wa Uchaguzi
Manispaa ya Ilala

Related Posts: