KUITWA KWENYE USAILI
Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia watu wote walioomba kazi za
kada mbalimbali kuwa wameteuliwa kuhudhuria usaili wa kazi walizoomba
utakaofanyika kwenye kumbi zilizoko ndani ya uwanja wa Taifa (National
Stadium) unaotazamana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Kuona majina ya usaili angalia katika gazeti la Dairy News la tarehe 28 Septemba, 2015.