Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
The Agency for the Development of Educational Management (ADEM),
Local Government Training Institute (LGTI), Tanzania Atomic Energy
Commission (TAEC), Institute Of Finance Management (IFM), Eastern
Africa Statistical Training Centre (EASTEC), Wizara, Idara
zinazojitegemea na Wakala za Serikali (MDAs), anatarajia kuendesha
usaili kwa waombaji wa Kazi wa kada mbalimbali kama inavyoonekana
katika Tangazo hili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyi kabla ya usaili kuanza.
2. Kuja na kitambulisho kwaajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha
mkazi, kupigiakura, kazi, hati ya kusafiria n.k
3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne,
sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemea
na nafasi ya mwombaji.
2
4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za
matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
5. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
6. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
7. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
8. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
9. Wale ambao majinayao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za
kazi zitakapo tangazwa.
Kuitwa kwenye usaili utakaonza tarehe, 08/10/2015 hadi 22/10/2015.
TANGAZO LA USAILI 01 OCT 2015.pdf
Saturday, October 3, 2015
CALL FOR INTERVIEW - Kuitwa kwenye Usaili , Oct 2015
By writer at 12:15 AM
job-government
Related Posts:
Nafasi za Kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaKumb. Na EA.7/96/01/H/81 15 Oktoba, 2015 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebish… Read More
AJIRA UTUMISHI Ref. No P.1/1470/2015 The Tanzania Library Services Board was established under the Act. Of Parliament No.36 of 1964 which was repealed by Act No. 6 0f 1975 which vests responsibility of establishing and maintaining Pub… Read More
Nafasi za Kazi Manispaa ya Ilala , Okt 1 2015 Msimamizi wa Uchaguzi Manispaa ya Ilala anawatangazia wananchi/Wakazi wote wa Manispaa ya Ilala Nafasi Zifuatazo 1.Wasimamizi wa Uchaguzi wa Vituo 2. Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo 3.Makarani Waongozaji wa Kupiga Kura Sifa … Read More
CALL FOR INTERVIEW - Kuitwa kwenye Usaili , Oct 2015Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya The Agency for the Development of Educational Management (ADEM), Local Government Training Institute (LGTI), Tanzania Atomic Energy Commission (TAEC), Insti… Read More
Deputy Executive Secretary , Tanzania Commission for Universities (TCU) The Tanzania Commission for Universities (TCU) is a semi-autonomous statutory body under the Ministry of Education and Vocational Training. TCU is mandated to recognize, approve, register and accredit universities operat… Read More