1.
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote
walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za afya kwa ngazi ya Cheti
(Astashahada) na Diploma (Stashahada) kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja
(CAS) kuwa, Uteuzi wa awali umefanyika na waombaji 9306 kati ya 21228
wameteuliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Matokeo ya uteuzi huo
yanapatikana katika kurasa binafsi (Profiles) za waombaji.
2.
Waombaji wote ambao wamechaguliwa katika awamu hii wanapaswa
kuthibitisha kuwa wataripoti katika vyuo walivyopangiwa na mwisho wa
kuthibitidha ni Ijumaa tarehe 16 Oktoba 2015. Iwapo muombaji
hatathibitisha, nafasi hiyo itatolewa kwa mwingine. Kuweza kuthibitisha bonyeza hapa.
3.
Kwa wale ambao bado hawajapangiwa vyuo, kurasa binafsi zenu zina
maelezo yenye sababu za kutopangiwa chuo katika awamu hii na maelekezo
ambayo unatakiwa kuyatekeleza ili mfumo utakapochakata uteuzi wa awamu
nyingine siku ya Jumatatu 19 Oktoba 2015 idadi kubwa zaidi ya waombaji
iweze kupangiwa vyuo kwani hadi sasa nafasi zipatazo 11566 hazijajazwa.
Imetolewa na:
Katibu Mtendaji
Baraza la Taifa la Elimu yaUfundi (NACTE)
27 Septemba 2015
Related Posts:
Jobs at Tanzania Revenue Authority ,(TRA)
The Tanzania Revenue Authority (TRA) was
established under The Tanzania Revenue Authority Act (Revised Edition
of 2006). The Authority is a semi-autonomous agency of the Government of
Tanzania responsible for … Read More
AJIRA UTUMISHI
Ref. No P.1/1470/2015
The
Tanzania Library Services Board was established under the Act. Of Parliament
No.36 of 1964 which was repealed by Act No. 6 0f 1975 which vests
responsibility of establishing and maintaining Pub… Read More
Jobs at Tanzania Library Services Board , OCT , 2015
Ref. No P.1/1470/2015
The
Tanzania Library Services Board was established under the Act. Of Parliament
No.36 of 1964 which was repealed by Act No. 6 0f 1975 which vests
responsibility of establishing and maintaining Pub… Read More
Careers at Bakhresa Food Products Ltd , OCT , 2015
We
currently don’t have any jobs available. Please check back regularly,
as we frequently post new jobs. In the meantime, you can also send through your résumé, which we’ll keep on file.
… Read More
INTERVIEW RESULTS OF 08/10/2015 (EASTEC & ADEM-BAGAMOYO)
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano (Oral)
wanatakiwa kufika muda, mahali na tarehe kama ilivyooneshwa kwenye
ratiba ya usaili.
Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certifica… Read More