Kumb. Na. EA.7/96/01/G/31
21 Januari, 2015
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda
kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili
kuanzia tarehe 12 Desemba,2014 hadi tarehe 08 Januari, 2015 kuwa
walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili.
Aidha,wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi
walivyopangiwa kwa muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za
kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates)
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na
mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao za
posta. Kwa wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI - JANUARY 2015
Wednesday, January 21, 2015
KUITWA KAZINI - JANUARY 2015
Related Posts:
Credit Controller , AAR Insurance (Tanzania) Limited AAR Insurance (Tanzania) Limited is a subsidiary of AAR Holdings which is the largest and most successful private Insurance company in East Africa. In Tanzania its Head Office is in Dar es Salaam and branches are in Arus… Read More
USAILI WA MITIHANI YA MCHUJO DUCE TAREHE 12/10/2015 KADA HUSIKA KATIKA USAILI AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI AFISA UTUMISHI II AFISA TAWALAI II KATIBU WA KAMATI AWAMU YA PILI: SAA TATU KAMILI ASUBUHI AFISA TARAFAI II AFISA USIMAMIZI WA FEDHA AFISA BIASH… Read More
Recruitment at The The Bank of Tanzania , The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s central bank, islooking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill thefollowing vacant positions at the Head Office … Read More
JOBS AT THE US EMBASSY IN TANZANIA EMPLOYMENT OPPORTUNITY - International Narcotics and Law Enforcement Affairs CLOSING DATE OF THE POSITION: October 15, 2015. EMPLOYMENT OPPORTUNITY - A.I.D Environmental Management Specialist CLOSING DATE OF THE POSITION… Read More
JOBS IN MOROGORO - 6 OCT 2015 Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) is a grassroots organization with registration number SA.17581. SAT works closely with small scale farmers on organic farming and stakeholders like universities, companies and gover… Read More